Thursday, May 5, 2011

HISTORICAL AND PERSONAL FACTS IN KISWAHILI AND ENGLISH

Watu ninaewapenda kwa leo:


300 DAYS OF LIFE FOR A YOUNG ETHNIC SOUTH AFRICAN TANZANIAN!
Maziri Phiri, ambaye ni mtoto wangu wa pili, mvulana mwenye kuzaliwa Jumapili tarehe 10 July 2010, huko Iringa, anamaliza leo siku 300 maishani mwake!  Kwakuwa yuko TZN, simuoni lakini niko naye kiroho!


MTANZANIA AGNES MWENYEJI WA SINZA DAR ES-SALAAM ATIMIIZA MIAKA 37... HONGERA SANA AGNES!

KUTOKA KWANGU: From  <+27833087713> at 11:35 PM 2011/05/05: "Agnes, wajionaje hali?Umepona? Nakutumia meseji kukutakia heri kwa siku yako ya kuzaliwa. Mimi ni Msouth-Africa uliyekutana naye miaka miwili au mitatu iliepita"

KUTOKA KWA AGNES: "at 11:32 PM 2011/05/05 via Phiri "Mungu akubariki nawe...Naendelea vizuri. Asante sana."





HAPPY BIRTHDAY TO A SOUTH AFRICAN YOUNG LADY
Miss Thobile Matsebula, my maternal second cousin!  Of course she's the daughter of Mr Matsebula and Mrs! Mrs, a maternal first cousin of my mother's, named and born Princess Sibongile Nkosi, is the daughter of Prince Mtutu Nkosi and LaMatsebula.  Mtutu is the youngest sibling to my maternal grandmother born Princess Mafede Eleanor Nkosi (Mrs Mavimbela).  A quiet or dormant volcano, Thobile is one of the people with a completely overwhelming presence; as to whether my cousin is using her assets well, is another story!  I wish you a long life, Girl! (She lives in Mbombela/Nelspruit, in the Mpumalanga Province of the Republic of South Africa)

FACTS ninaependa kuzikumbuka leo:


Walter Ulyate Sisulu: Leoni ni miaka 8 barabara tangu kifo cha moja wa viongozi mashughuli Afrika Kusini.  Kwa wasiejuwa, marehemu huyu ni baba yake Waziri wa Mambo ya Ulinzi nchini Afrika Kusini.

3 comments:

  1. Mkuu nimekutembelea baada ya "kufumania" hii link kule kwa dada Koero, VUKANI. Nimeona hapana na mimi niingie kukusalimu na kukutaarifu kuwa nitakuwa napita mara kwa mara

    ReplyDelete
  2. Niliona birthday yako kule kwa Yasinta na nilitaka kukuhongeresha japo nimechelewa.

    Happy Birthday mkuu Manyanya!!!

    ReplyDelete
  3. @Mwanasosholojia
    @MMN

    Kama tungesaidiana tu kutamka vilugha bila kujali mno herufi zake sahihi ningewaomba msome sentensi hii kama vile herufi zake ni Kiswahili:

    "NG'ITIVA NG'ILITE!"

    Yaani hiyo ni lugha yangu kwa mama-mzazi, KiSwati/Siswati/Swazi. Nahapo maana yake (NGITIVA NGILITE) ni "NAJISIKIA MI-SIKITU!".

    Hiyo methali ni namna ya kuwashukuru na kusema labda zaidi kwa tafsiri ya Kiingerea: WHY AM I SO BLEST WITH ONLINE FRIENDS LIKE YOU!?

    Asanteni sana!

    ReplyDelete