Tuesday, November 22, 2011

JE WATAKA MWANAO ASIZOWEE TV?

Watoto Washule Afrika Kusini



Vipimo vyote vya kiakili juu ya matumizi ya televisheni vyaonyesha madhara kuliko manufaa hasa kwa watoto, hususan wa shule.


Kusema ukweli hamna mzazi mwenye busara atakaefurahishwa na mwanae kukaa na kuangalia televisheni badala ya kufanya masomo yake ya shule.


Mmoja ya wazazi kama hao Afrika Kusini ameula wa chui kwa kutorahisisha mwanae (Kidato cha Tisa) aangalie Telivisheni nyumbani....


...Ghafla kwenye mitihani limetokea suali (+ 10 marks) kuhusu waigizaji wa sinema za televisheni (SOAP OPERAS).


Lakini mzazi mwenyewe asema [hata mwanae huyo akishindwa na huo mtihani, YEYE KAMA MZAZI HATASHINDWA NA VITA YA KUTETEA WATOTO ILI WASIULIZWE MASWALI YA KIJINGA KAMA soapies ZA TELEVISHENI]

Kama tunavyochapisha hapa, wakuu serekalini wanaanza kutoleana lawama ni nani alieruhusu katika baraza la mitihani suali kama hilo!!!!


Unaweza kusoma habari hii zaidi hapa:





INDEPENDENT NEWSPAPERS
The first day of matric exams. Picture: Nqobile Mbonambi

The Department of Basic Education is investigating how a question on television soap opera characters landed up in a Grade 9 exam paper.

An irate parent wrote to a newspaper accusing the department of discriminating against children who did not have access to television.

“Angry Parent” said that a question in her daughter’s CTA arts and culture exam paper had asked pupils to “name two soapies that you enjoy watching and name three characters from each”. The question was worth eight marks.

Pupils also scored an extra two marks if they were able to say who their favourite soap opera character was and why.

The parent, who chose to remain anonymous because she did not want her daughter to be teased, argued that the family did not have a television, and even if they had, her children would not be allowed to watch the soapies. She did not indicate how her daughter had answered the question

Ministry spokeswoman Hope Mokgatlhe said the matter had been brought to the attention of Basic Education Minister Angie Motshekga.

“Our curriculum and examinations (units) are currently looking into it,” she said.

Mokgatlhe said that Grade 9 exams were set and moderated by the provincial departments, and sometimes they were set at district level.

She said the question was an oversight and the department would investigate it.

Mokgatlhe said that in cases where it was found that an exam question has disadvantaged pupils through no fault of their own, their marks would be adjusted. - The Star

3 comments:

  1. swala hili ni sugu sana siku hizi na sasa kuna hizi komputa basi ndo kazi kwelikweli...enzi sisi wengine tunakua kulikuwa hakuna haya mambo kwa hiyo mtu ulikuwa na wazo moja tu kusoma ukisikiliza taarifa ya habari basi ushukuru Mungu. Ahsante kwa mada/ darasa hili.

    ReplyDelete
  2. Kweli da'Yasinta naona kama huu utandawazi ukiwaachia sana watoto wajifunze tuu bila uangalizi wa wawakubwa tunaweza kuvuna majuto,kila kitu kikizdi ni kero!

    ReplyDelete
  3. DUH amakweli KUFELI saa nyingine ni matokeo ya kuulizwa tu usiyojua na wala sio kukosa akili!

    ReplyDelete