Leo nitalala usingizi kweli; kwani Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini kwetu hapa ameanza kutamka maoni yake juu ya nia mbovu za Wazungu wa Ulaya [wakiwa wanatumia vibaya azimio la Umoja Wa Mataifa juu ya mzozo wa wananchi waLibya ila kumwondoa Gaddafi kuingiza vibaraka vyao].
Chembechembe ya habari hizo unaweza kupata pia (kwa mtazamo wa nchi za Ulaya lakini), ukibonyeza hapa.
Chembechembe ya habari hizo unaweza kupata pia (kwa mtazamo wa nchi za Ulaya lakini), ukibonyeza hapa.
The Picture of the Libyan colonel, Africanist and Head of State is from one of the items in “Breaking Perceptions”: titled “Muammar al-Gaddafi and his trouble with the West”
I've linked to at least two websites tonight. Nonetheless, Blogger holds no brief for either website; nor are we necessarily sympathetic to their ideologies. All we were interested in were their creditable picture(s) or/and their contents, whichever applies. We will always [give unto Caesar what belongs to Caesar and to God what belongs to God]. One of the greatest teachers, Jesus Christ, taught us such as a principle for the way to eternal life!
No comments:
Post a Comment