Saturday, November 26, 2011

VIPI WAKRISTU? JE MILA ZA KISWAHILI ZINAYO NAFASI KWENU?

Mrs Tsvangirai-to-be? Or Not-to-be?

Ni furaha tupu Afrika kusikia kwamba Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Bw. Morgan Tsvangirai amempata tena wake wakufa na kuzikana Bi Locadia Karimatsenga Tembo (Pichani).


Cha kusikitisha lakini ni kwamba  sasa tunausikia mgogoro kuhusu uchaguzi wake kufanya harusi kwa wakati mtakatifu (Mwezi Novemba) huko Zimbabwe (Vilevile siku chache tu baada ya Lengibatsandzako kubandika posti hii mtandaoni tunasikia leo Disemba Mosi kwamba Bwana Morgan sasa "KAACHIA NGAZI NA LOCADIA AMEBAKI KWENYE MATAA")


Mimi kama Mkrestu naona si vizuri kuwatendea watu mwiko katika desturi zao.




Mimi ningependa kuyasikia maoni yenu nyinyi wengine Wakrestu wenzangu na watu wenye dini zingine.  Je, ni mwiko kwa Afrika kuyiambatanisha Injili na desturi zetu?


Mbona Yesu/Issa ambae alikuwa mweusi alibadilishwa rangi akawa mweupe pichani ila kumuezesha akubalike kwa watenda-dhambi wa Ulaya?

Nani kasema toleo la Agano kutoka Ulaya litakuwa ndio jabali la injili milele na milele?



In relation to the impending marriage between Zimbabwean Prime Minister Mr Morgan Tsvangirai and his Spoken For (pictured above) a row has apparently erupted over perceived conflicts between Christianity and African culture where such marriage celebrations are apparently taboo in Zimbabwe's Novembers.



Methinks this man of God must revisit his Scriptures.  Since God dispersed us on the day of Babel, He Himself created these disparate traditions of which I am happy to read about for the first time today where Great Zimbabwe is concerned.



But Jesus of whom Agrippa Chitsinde is supposed to be a follower said this very clearly somewhere in the Writ:

"GIVE UNTO CAESAR WHAT BELONGS TO CAESAR AND TO GOD WHAT BELONGS TO GOD"



I think the Prime Minister should respect African traditions before respecting a Europeanized version of Christianity.  But I am only an individual Christian, wondering loudly what other fellow-Christians think on this one... and other religions as well!


4 comments:

  1. Mmmmmh!

    ....and I still don't know what taboo is broken by marrying somebody in november after reading this.:-(

    ReplyDelete
  2. Sijui ni mkristu wa aina gani ila kwa sisi wakatoliki haturuhusiwai koa mke zaidi ya mmoja.

    ReplyDelete
  3. @Edna
    Basi yeye kama ni hivyo yaani kutowoa tena hata kwa dhehebu lake atakuwa amefeili hata mtihani wa pili kwa kule tu kuwania mke mwingine. Lakini sasa nasoma leo (paragrafu ya pili juu kwa marekebisho yangu) "Mzee ameachia ngazi na hamtaki tena yule mwanamke [kwa madai chama cha Bw Robert Mugabe kimeingilia mno ndani ya maandalizi ya ndoa hii]"

    Nasita kusema huyu Mzee Tsvangirai atapata kura ya kumwezesha kuitawala nchi Zimbabwe kama akili na maamuzi yake vinayumbayumba kihivyo!

    @Simon


    na Cheka Weeee!!!!


    Wananchi wa Zimbabwe wanadai Mzimbabwe anayo miezi kumi na moja mfururizo wa kutafuta na kusherehekea tunda lolote lile duniani lakini mwezi wa Novemba ni tunda la mimea tu lenye kusifika; na wanasema hiyo ndiyo inawaletea mvua kutoka kwa Mwenyezi-mungu].

    ReplyDelete
  4. @Edina: Jamaa si kafiwa na mke wake wa kwanza? Kwani Kanisa la Katoliki haliruhusu mfiwa kupata jiko jipya?

    ReplyDelete