Saturday, October 22, 2011

KUJIFICHA KAMA PANYA PAMOJA NA UTAJIRI WOTE HUO KWA BW. MUAMMAR GADDAFI?

Hivi kweli ndivyo Kanali Muammar Gaddafi alivyoamua kuishi siku zake
za mwisho duniani kabla ya kukamtwa na adui zake?





Omran al-Oweib, Mlibya mwenye umri 31 kutoka mji wa Misrata na moja wa makamanda katika wapinzani wake Marehemu Gadaffi, anakiri kwamba huyo amefia mikononi mwake1. Kifo cha Gadaffi kando ya barabara kama ilivyoonyeshwa kwenye picha ni kitu cha kushangaza sana. Lakini ndivyo hivyo tena (kama ndio ukweli)






1
Libyan commander describes Muammar Gaddafi's last moments

By Gabriel Gatehouse

The commander of the brigade that captured Col Muammar Gaddafi has said he takes full responsibility for his death.

In an exclusive interview with the BBC, Omran al-Oweib, a 31-year-old electrical engineer from Misrata, said he tried to save the former Libyan leader's life.

But Col Gaddafi died in his presence while they were on their way to hospital on Thursday.

Mr al-Oweib described in forensic detail the fierce firefight that took place on the outskirts of Sirte.

He said that, as his men dragged the colonel from the by-now infamous drainage pipe, they came under fire from three sides.

In the heat and chaos of the battle, he said, it was impossible to tell who had fired the lethal bullet.

"I didn't see which weapon killed Gaddafi," he said.

"There was [shooting] coming from the hole and from the street. [People were] running from the side, running and shooting to save themselves."

The commander admitted that some of his fighters had wanted to kill the former dictator on the spot. But he said he had pleaded with then not to. He wanted to bring him back alive.

"I tried to save his life," he said, "but I couldn't. I couldn't do anything for him. Even though he was my enemy, I wanted to take him alive to Misrata, to judge him."

"What's up, guys?"
Mr Oweib said that Col Gaddafi was already wounded when he was dragged from his hiding place.

But, when he was set upon by a furious mob of fighters, the former dictator managed to take just 10 steps before falling to the ground.

Continue reading the main story

Start Quote


Gaddafi passed away on the front line - I am responsible for that”
When his men first caught him, Mr Oweib said the former Libyan leader appeared not to realise that his hold on power had slipped from his grasp.

"When he came out from the hole, he started saying: 'What's up, guys, please wait. What's the problem? I'm with you. You're not allowed to do that. Hey!' He still thinks he is the president or the dictator."

The commander eventually managed to move him into an ambulance and drove towards the nearest field hospital.

"Many, many [check]points asked me to stop. I did not agree to stop. I asked the driver: 'Please go, please don't stop. Hurry up.'"

But when the ambulance arrived at the field hospital they found the entrance crowded with cars and people.

"I decided to carry him to the air-ambulance."

The air-strip was some distance further to the west. But Col Gaddafi died before they got there.

"Suddenly the doctor told me: 'Gaddafi already passed away.'"

Mr Oweib's account appears to support the assertion by the National Transitional Council that the colonel was killed in crossfire rather than summarily executed by vengeful fighters.

But, when asked who he thought was responsible for Muammar Gaddafi's death, he said simply:

"Gaddafi passed away on the front line. I am responsible for that. I am the commander."

Omran al-Oweib now plans to return to his civilian life as an electrical engineer.

"We started with a civilian revolution. After that, Gaddafi changed this revolution to a war. The revolution starts now. Because the revolution means: build our country, correct our mistakes in our country."



4 comments:

  1. Mkuu ikibidi, CHOO ni bedroom swafi tu MKUU!

    ReplyDelete
  2. Makubwa, haya sasa! Lakini, nao ukabila unatusumbua Barani kwetu hapa. Kama yeye kweli alkuwa kiongozi wa kitaifa, kwanini siku zake za mwisho Mzee Gaddafi awe huko kwenye mifereji ya Sirte alikozaliwa (na sasa kufia) badala ya sehemu yoyote ile ingine nchini Libya hasa kwa mtu kama yeye alietaka umoja wa Waafrika wote?

    ReplyDelete
  3. Inasemekana LIBYA ukabila ni mkali sana na hata katika vita ya kumng'oa GADAFI kuna wasemao ilikuwa ni kikabila zaidi na wanadai karibu kila maeneo yaliyokuwa yanavamiwa wavamizi walikuwa wanatoka katika kabila lililo kuwa na kisasi.

    Na pia kuna wataalamu wadaio kuwa GADAFFi ndio alikuwa kiunganishi cha LIBYA na baada ya hapo ni labda atokee bonge la kiongozi la sivyo LIBYA kama nchi moja haiwezekani.

    Na hapo ni kwa kuruka isemekavyo moja ya siri ya GADAFFI kutaka kuunganisha AFRIKA ilikuwa ni kwa sababu ya kunyutrolaizi ukabila kwake nyumbani ... kama tu AFRIKA MASHARIKI wafikiriavyo kwa kuungana itatibu ukabila wa KENYA, UGANDA, Rwanda, Burundi na nk. kwa sababu hata TANZANIA yenyewe UKABILA ni tatizo hata kabla huja ingizia UZANZIBAR na UBARA.:-(

    ReplyDelete
  4. Kwa ufafanuzi wako na upana wa kimawazo nakushukuru sana, Mkuu!

    ReplyDelete