Wednesday, May 4, 2011

LEO NASALIMIA NAMUHLA NGIYABINGELELA TODAY I'M GREETING

(SISWATI LANGUAGE)
Namuhla lilanga kimi lekubingelela kini nonkhe lengibatsanzako, futhi ngelilanga lami lekutalwa ngicedza mimyaka lengu-50. Sengaphila lamhlabeni emalanga langu-18263. Umlente lomunye sosetfuneni, Nebakitsi!



(KISWAHILI LANGUAGE WORD-FOR-WORD TRANSLATION)
Leo ni-siku kwangu ya-kusalimia kwenu wote ninaewapenda, tena kwa-siku yangu ya-kuzaliwa nikimaliza miaka 50. TAYARI-MIMI-KUISHI hapa-duniani SIKU 18263.  Mguu mwingine tayari-kaburini, Nduguzanguni!


(ENGLISH LANGUAGE WORD-FOR-WORD TRANSLATION)
TODAY is-one-day TO-ME for-greetings TO-YOU all DEAR-TO-ME, also ON-A-DAY to-me OF-MY-BIRTHDAY when-I-complete YEARS 50.Alredy -today-completed-by-me ON-THIS-EARTH days 18263.  ONE-LEG of-the-two IS-ALREADY-IN-THE-GRAVE, Brethren!






FURTHERMORE, I'D LIKE TO START INTRODUCING YOU NON-NGUNI SPEAKERS TO SOME OF THE PRONUCIANS DOMINANT IN THE NGUNI LANGUAGE: (SWAZI aka SiSwati, Zulu, Xhosa, Ndebele and related dialects) .  ENJOY YOUR LESSONS ON VIDEO AS PRESENTED BY YOURS TRULY




12 comments:

  1. Mpiganaji GMP,kwa heshima na taadhima ninapenda kukupongeza kwa siku yako ya kuzawali. Mungu akubariki sana kwa moyo wako wa ushirikiano.

    ReplyDelete
  2. Upendo saana Kaka Goodman. Niliwahi kuuliza kama MAJINA YETU YANAATHIRI MUSTAKABALI WA MAISHA YETU, na sasa nawaza kama wewe u-mwema kwa kuwa uliitwa GOODMAN?
    Heri ya siku ya kuzaliwa na hakika BARAKA TELE katika maisha yako kuendelea kuwa MTU MWEMA...GOODMAN
    Happy EARTHDAY Brother
    Stay BLESSED

    ReplyDelete
  3. Mkuu Mubelwa Bandio (aka "Mzee Wa Changamoto"), nakushukuru sana kwa kukubali wito wangu kujumuika nami.

    Mara nyingi najiuliza. Bila Wanaafrika Mashariki mimi ningekuwa wapi?

    Sinajibu hapo na hakika siwezi kupata. Hata sasa hivi kwa saa nane usiku(kwa wakati wa Afrika Kusini/Johannesburg) bado napigana vita vya kuandika mambo ya kortini lakini nisingekuwa na nguvu (hata kidogo) bila nyie Ndugu Zangu.


    Kama Mungu kweli yupo, lazima atawabiriki nyie kuliko mimi... "BLESSED IS THE HAND THAT GIVETH"!

    ReplyDelete
  4. Nimeitikia WITO Mkuu na nishaingia hapa!
    Ntajitahidi kuwa bega kwa bega na Blogu hii kikuchangia pia!

    Kwa mara nyingine

    KHERI YA SIKU YA KUZALIWA MKUU!

    ReplyDelete
  5. MLlongo wangu! Dadi witu wa kunani akulongolelai sana. Utamayi bwina na vanu na uvyai bwina. Hongera sana kwa ligono laku la kuzaliwa...Uvili lepi wamwene, PAMONGA MAGONO GOHA!!

    ReplyDelete
  6. @Simon

    Mkuu!


    @Yasinta

    "MLlongo"? Watani wenu Watumbuka "alongosi" kwao nahisi ni "Dada", "Kaka" "Mdogo wangu" nakadhalika.

    Kama ni hivyo nimepata cheo kweli asante!


    "Dadi witu"? Hapo nimekwama ikiwa hiyo ndio "Dada" sasa.


    "wa kunani" ndie wawapi sasa? (au yeye ndie Dada "wa huku"?)


    "bwina" naelewa "vizuri" lakini "Utamayi" kazi hapo ipo! "uvyai" nalo ni neno kama Kigriki sasa... lo! kichwa kinaniuma tayari!


    "Hongera sana kwa ligono laku la kuzaliwa" hiyo ni safi sana kwani naelewa kupongezwa kwa siku yangu ya kuzaliwa. (Je...kama baadhi ya Wanyasa... nikijibu "zikomo kwambiri!" au "Yeo!" nitakuwa nimeikosea "Asante"?)


    Lakini...
    "...Uvili lepi wamwene, PAMONGA MAGONO GOHA!!"

    Hapo kweli nashindwa kujielewa nakwenda au narudi! TUPE TAFSIRI YA MANENO YOTE DA YASINTA, TAFADHALI!

    ReplyDelete
  7. Baraka,Amani,Upendo na Umoja utawale daima!!
    Pamoja kaka,

    Hongera kwa siku yako hii muhimu maishani,kila kheri na mafanikio katika maisha na familiyapia,ASANTE KWA KUNIKARIBISHA HAPA.

    ReplyDelete
  8. @Rachel

    Asante sana, Rachel.

    Nami kweli najifunza pitia wewe kuswahili na Waswahili. Baraka ndio uhai wetu sote!

    ReplyDelete
  9. Sijachelewa sana nadhani, lakini nilianza kule kwa Dada Yasinta (Maisha na Mafanikio) kukutakia kumbukumbu njema ya siku ya kuzaliwa. Hakika wewe ni rafiki, ndugu, jamaa na jirani mwema, mwafrika, mzalendo haswaaaa. Hongera sana GMP!

    ReplyDelete
  10. @Mwanasosholojia

    Nakuomba usome sentensi hii kama vile ingekuwa niKiswahili: "(Akhter-os kom uok en di kiral)"

    TAYARI UMESHAJUWA KUONGEA KIKABURU/AFRIKAANS!

    Hiyo ni methali yetu Afrika Kusini (Afrikaans: AGTEROS KOM OOK IN DIE KRAAL).

    Maana yake: "hata yule ng'ombe wa mwisho kabisa, lazima apewe fursa kamili ya kuingia zizini".


    kifupi: WALA HUKUCHELEWA, WANGU!


    Kuhusu yale uliyeandika juu yangu kwa Dada Yasinta, bado nakufikiria namna ya kukujibu, maana yake uliniacha hoi kabisa... nimesoma mara ya kwanza leo hii!!!!



    @Kamala
    Mbona nawe ni "ng'ombe mkaburu" tu kama huyo Mwanasosholojia!


    Karibuni sana wote, Ndugu zangu! Ila mimi nasikitika ni wachache tu wanaenitaarifu lini sasa siku zao za kuwatakia kila la heri ya kuzaliwa... nisingependa kupitwa na hata mmoja kwenu!

    Naomba mnitumie kisiri basi (hata wasomaji wetu wako huru kabisa tutawatakia heri kama mimi simvivu kabisa katika mambo hayo) hizo DETAILS kwa njia hizi manyanyaphiri@gmail.com au SMS: +27833087713.

    Karibuni tena!

    ReplyDelete