Friday, December 9, 2011

[WATAWA KATOLIKI MZUIYE NANYI MIMBA JAMAANI!]

[Watawa kunyweni vidonge vya kuzuia mimba!]




Papa ameombwa na kusisitizwa na baadhi yao (wataalamu) wakamsihi kabisa si awaruhusu tu bali AWAPE pia tena bure watawa (Wakatoliki) vidonge vya kuzuia mimba. (Watawa lakini siwale akinamama wenye kula kiapo hawatalala na mwanaume? Sasa iweje wapewe vidonge?)

Ukweli ni kwamba kila baada ya hedhi (MENSTRUAL CYLE) bila kushika mimba, mwili unapata nafasi ya kusafisha damu pia na kuondoa sumu nyingi zinazosababisha aina nyingi za kansa kwa wanamama. Na mwanamke asiemtawa hana tatizo lolote kufaidi huo usafishaji wa damu na matokeo yake ni kwamba wanawake wasiekuwa watawa hawasumbuliwi na magonjwa ya kansa za kike kwa kiwango kikubwa kama watawa wanavyoathirika.


Utafiti  sasa umethibitisha ya kwamba  watawa WAKINYWA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA HATA KAMA (DESTURI) HAWALALI NA MWANAUME damu yao itapata kusafishwa mithili damu ya mwanamke mwanandoa. [Vidonge vitaongeza idadi ya OVULATION na kwa hivyo kuongeza hedhi pamoja na fursa kwa mwili kusafisha mifumo mbalimbali ya kike ila kuzuia magonjwa ya kansa kwa hao watawa]



Hayo yote ni tafsiri za mwanablogu. Na kama panakosa, kumradhi sana.  Lakini nafasi yako hii hapa kwa madhumuni ya kusoma zaidi yale  maelezo ya awali.


'via Blog this'

3 comments:

  1. Duh! kazi ipo tena kubwa tu..Ahsante kwa kuibua hili swala.

    ReplyDelete
  2. Hahhah,Yaani kabla sijaingia wazo la jibu lilikuwa kama la da'Yasinta Duhh!dada yangu amemaliza.

    ReplyDelete
  3. safi sana kuna umbeya kuwa wengi wao wanaabot! ngono tamu jamani

    ReplyDelete